Hades
Hades (Kigiriki cha Kale: ᾍδης, Hadēs; kutoka Ἅιδης, Haidēs au Άΐδης, Aidēs; Kidoriki: Ἀΐδας, Aidas) ni mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Pluto katika dini ya Roma ya Kale.[1]
Hades | |
---|---|
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero | |
Mfalme wa Kuzimu Mungu wa Waliokufa | |
Makao | Kuzimu |
Alama | Serbero, Helmeti ya Giza, Muhuhu, Narsisi, Ufunguo wa Hade |
Mwenzi | Persefona |
Wazazi | Krono na Rea |
Ndugu | Poseidoni, Demetra, Hestia, Hera na Zeu |
Watoto | Makaria, Melinoe, Zagreo na Plutu |
Ulinganifu wa Kirumi | Pluto, Dis Pater, Orcus |
Ulinganifu wa Kietruski | Aita |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |