Nenda kwa yaliyomo

Wapiti (mnyama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wapiti
Wapiti (Cervus canadensis)
Wapiti (Cervus canadensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia walio na vidole viwili au vinne)
Nusuoda: Ruminantia (Mamalia wanaocheua)
Familia: Cervidae (Wanyama walio na mnasaba na kulungu)
Nusufamilia: Cervinae (Wanyama wanaofanana na kulungu wa Dunia ya Kale)
Jenasi: Cervus
Linnaeus, 1758
Spishi: C. canadensis
(Erxleben, 1777)

Wapiti (kutoka Kiing.: wapiti, Kisayansi: Cervus canadensis) ni kulungu mkubwa wa Amerika ya Kaskazini na madume wa spishi wana pembe kichwani.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.