Tohe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Peleinae)
Tohe | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Tohe ndope
(Redunca redunca) | ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Nusufamilia 2, jenasi 2, spishi 4:
|
Tohe ni wanyamapori wa jenasi Pelea na Redunca katika familia Bovidae. Wana rangi ya mchanga au ya kijivu lakini tumbo ni jeupe. Madume ya Redunca wana pembe zilizopindika kuelekea mbele, wale wa Pelea wana pembe nyofu. Wanatokea mahali pa nyasi nzito karibu na maji au misitu milimani (tohe-milima na tohe pembe-nyofu). Wanyama hawa hula nyasi na matete.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Nusufamilia Peleinae
- Pelea capreolus, Tohe pembe-nyofu (Grey rhebok)
- Nusufamilia Reduncinae
- Redunca arundinum, Tohe kusi (Southern reedbuck)
- Redunca fulvorufula, Tohe-milima (Mountain reedbuck)
- Redunca f. adamauae, Tohe wa Milima Adamawa (Adamawa Mountains reedbuck)
- Redunca f. chanleri, Tohe-milima wa Chanler (Chanler's mountain reedbuck)
- Redunca f. fulvorufula, Tohe-milima Kusi (Southern mountain reedbuck)
- Redunca redunca, Tohe ndope au Forhi (Bohor reedbuck)
- Redunca r. bohor, Tohe ndope wa Uhabeshi (Abyssinian reedbuck)
- Redunca r. cottoni, Tohe ndope wa Sadd (Sudd reedbuck)
- Redunca r. nigeriensis, Tohe ndope wa Nijeria (Nigerian reedbuck)
- Redunca r. redunca, Tohe ndope magharibi (Western reedbuck)
- Redunca r. wardi, Tohe ndope mashariki (Eastern reedbuck)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Madume na majike ya tohe pembe-nyofu
-
Dume la tohe kusi
-
Jike la tohe kusi
-
Dume la tohe-milima
-
Jike la tohe-milima
-
Jike la tohe ndope
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tohe kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.