Nenda kwa yaliyomo

Kaunti ya Taita-Taveta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaunti ya Taita-Taveta
Kaunti
Bendera Nembo ya Serikali
Kaulimbiu: ""
Taita-Taveta County in Kenya.svg
Kaunti ya Taita-Taveta katika Kenya
Nchi Kenya
Nambari6
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Mji mkuuMwatate
Miji mingineVoi, Wundanyi, Taveta
Serikali
GavanaGranton Graham Samboja
Naibu wa GavanaMajala Mlagui Delina
SenetaJohnes Mwashushe Mwaruma
Mwakilishi wa wanawakeLydia Haika Mnene Mizighi
BungeBunge la Kaunti ya Taita-Taveta
Wawakilishi Wadi20
Maeneo bunge4
Eneo
Jumlakm2 17 152 (sq mi 6 622)
Idadi ya Watu
Jumla340,671 [1]
Msongamano20
Majira ya SaaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti
taitataveta.go.ke

Kaunti ya Taita-Taveta ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Imepakana na Kaunti za Kwale, Kitui, Kilifi, Tana River, Kajiado na Makueni. Pia, imepakana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makao makuu yako Mwatate.

Idadi ya watu waliohesabiwa katika sensa iliyofanywa mwezi wa Agosti 2019 ni 340,671 katika eneo la km2 17,152, msongamano ukiwa hivyo wa watu 20 kwa kilometa mraba[2].[3].

Taita-Taveta ina mbuga za wanyama za Tsavo Mashariki na Tsavo Magharibi.

Ziwa Jipe na Ziwa Chala hupatikana katika kaunti hii katika mpaka wa Kenya na Tanzania.

Kaunti ya Taita Taveta imegawanywa katika maeneo yafuatayo ya utawala[4]:

Kaunti ndogo/Eneo bunge Kata Msimbo
Voi Kasigau VKAS
Marungu VMAR
Sagalla VSAG
Kaloleni VKAL
Mbololo VMBO
Ngolia VNGO
Mwatate Rong'e MRON
Wusi-Kishamba MWUKI
Mwatate MMWA
Chawia MCHA
Bura MBUR
Wundanyi Werugha WWER
Mwanda-Mghange WMMG
Wundanyi-Mbale WWUM
Wumingu-Kishushe WWUKIS
Taveta Chala TCHA
Bomani TBOM
Mahoo TMAH
Mata TMAT
Mboghoni TMBO

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [5]

[hariri | hariri chanzo]
  • Mwatate 81,659
  • Taita 55,959
  • Taveta 91,222
  • Voi 111,831

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
  3. "2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County". Kenya National Bureau of Statistics. Retrieved 4 November 2019.
  4. "Kata ndogo pamoja na wadi na misimbo ya wadi Ilihifadhiwa 19 Aprili 2018 kwenye Wayback Machine.", Serikali ya Taita-Taveta, ilipatikana 12-04-2018
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.