Kangundo
Mandhari

Kangundo ni mji wa Kenya katika kaunti ya Machakos.
Wakazi walikuwa 218,557 (pamoja na Tala, ambayo ni sehemu ya halmashauri ya mji) wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kangundo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |