Nenda kwa yaliyomo

Mpamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mpamba
(Gossypium sp.)
Mpamba
Mpamba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpamba)
Jenasi: Gossypium
L.
Spishi: G. arboreum L.

G. barbadense L.
G. herbaceum L.
G. hirsutum L.

Mpamba (Gossypium sp.) ni jina la spishi nne za vichaka au miti ambazo matunda yao yatoa nyuzinyuzi zito iitwayo pamba.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpamba kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.