Papa Sixtus V
Mandhari
Papa Sixtus V, O.F.M.Conv. (13 Desemba 1521 – 27 Agosti 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili/1 Mei 1585 hadi kifo chake[1]. Alitokea Grottammare, Ascoli Piceno, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti.
Alimfuata Papa Gregori XIII akafuatwa na Papa Urbano VII.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |