Papa Gregori XII
Mandhari
Papa Gregori XII (1326/1345 - 18 Oktoba 1417) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Novemba/19 Desemba 1406 hadi tarehe 4 Julai 1415 chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Correr.
Alimfuata Papa Inosenti VII. Alikubali kujiuzulu ili kumaliza Farakano la Kanisa la Magharibi akafuatwa na Papa Martino V.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |