Papa Yohane VIII
Mandhari
Papa Yohane VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Desemba 872 hadi kifo chake tarehe 16 Desemba 882[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Adriano II akafuatwa na Papa Marinus I.
Anatazamwa kama mmoja kati ya Mapapa bora wa karne ya 9.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Papa Yohane VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Fred E. Engreen, "Pope John the Eighth and the Arabs," Speculum, 20 (1945), pp. 318–330
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |