Nenda kwa yaliyomo

Jean Smart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jean Smart

Mwigizaji Jean Smart akiwa katika HBO Post-Emmys Party, Pacific Design Center, mnamo mwezi Septemba 2008
Amezaliwa Jean E. Smart
13 Septemba 1951 (1951-09-13) (umri 73)
Seattle, Washington
Ndoa Richard Gilliland

Jean E. Smart (amezaliwa tar. 13 Septemba 1951) ni mshindi wa tuzo nyingi-nyingi za Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu, televisheni, na mcheshi kutoka nchini Marekani. Smart anafahamika sana kwa uhusika wa vichekesho, moja kati ya uhusika wake uliomaarufu ni ule aliocheza kama Charlene Frazier Stillfield kutoka katika ucheshi wa CBS maarufu kama Designing Women.

Baadaye akapata umaarufu zaidi baada ya kucheza kama Martha Logan kwenye mfululizo wa 24. Smart ameonekana tena kama Regina Newly katika ucheshi unaorushwa hewani na ABC maarufu kama Samantha Who?, ambayo hiyo ndiyo iliyompelekea kupata tuzo ya Emmy kwa mwaka wa 2008.

Mwwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo
1979 Gangsters Haijulikani
1979 Before and After Haijulikani
1983 Reggie Joan Reynolds Tamthilia
1983 Teachers Only Shari Tamthilia
1984 Single Bars, Single Women Virge Tamthilia
1984 Maximum Security Dr. Allison Brody Tamthilia
1984 Piaf Marlene Dietrich
1984 Flashpoint Doris
1984 Protocol Ella
1986 Fire with Fire Sister Marie
1986 A Fight for Jenny Haijulikani
1986-1991 Designing Women Charlene Olivia Frazier Stillfield Tamthilia
1987 Place at the Table
1987 Project X Haijulikani
1991 A Seduction in Travis County
1991 Locked Up: A Mother's Rage Cathy
1992 Baby Talk
1992 Mistress Patricia Aliigiza pamoja na Robert De Niro
1992 Overkill: The Aileen Wuornos Story
1992 Just My Imagination
1993 Homeward Bound: The Incredible Journey
1993 Batman: The Animated Series
1994 The Yarn Princess
1994 The Yearling
1994 Scarlett Sally Brewton
1995 The Brady Bunch Movie Dena Dittmeyer
1995 A Stranger in Town
1995 High Society Tamthilia
1996 Edie and Pen
1997 Undue Influence
1998 Style & Substance Chelsea Stevens Tamthilia
1998 The Odd Couple II Holly
1998 A Change of Heart
1999 Guinevere
2000 Forever Fabulous Loreli Daly
2000 Snow Day Laura Brandston
2000 Disney's The Kid Deidre Lefever
2000 The Man Who Came to Dinner
2000–2004 Static Shock Maggie Foley
2001 The Oblongs Pickles Oblong Tamthilia; sauti
2002 Kim Possible Dr. Ann Possible Tamthilia; sauti
2000 Frasier Tamthilia
2002 Sweet Home Alabama Stella Kay Perry Aliigiza pamoja na Reese Witherspoon and Josh Lucas
2002 In-Laws Tamthilia
2003 Bringing Down the House Kate Sanderson Aliigiza pamoja na Steve Martin and Queen Latifah
2004 Audrey's Rain
2003 Killer Instinct: From the Files of Agent Candice DeLong
2004 Garden State Carol
2004 I Heart Huckabees Mrs. Hooten
2004 Balto III: Wings of Change Stella
2004 Center of the Universe Kate Barnett Tamthilia
2004 A Very Married Christmas
2006 Whisper of the Heart Asako Tsukishima sauti
2006 24 Martha Logan Tamthilia
2007 Tales from Earthsea sauti
2007 Lucky You Michelle Carson
2007 Samantha Who? Regina Newly Tamthilia
2008 American Dad! Mwenyewe Tamthilia; sauti
2008 Hero Wanted Melanie McQueen
2010 Youth in Revolt Estelle Twisp
2010-2011 Hawaii Five-0 Governor Pat Jameson Tamthilia
2010 Psych Tamthilia
2011 $h*! My Dad Says Tamthilia
2011 William & Catherine: A Royal Romance Camilla
2011 Harry's Law Roseanna Remmick

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Smart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.