Nenda kwa yaliyomo

Bălţi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bălţi (Balti)
Mahali pa Balti nchini Moldova
Nchi Moldova
Kimo mita 59
Eneo km2 78
Wakazi 144,000
Msongamano wa watu 1,909.9/km2
Tovuti rasmi www.balti.md

Bălţi (tamka: bel-tsi; Kirusi Бельцы "beltsi") ni mji mkubwa wa tatu wa Moldova mwenye wakazi 126,000. Iko katika kaskazini ya nchi. Iko kilomita 135 upande wa kaskazini wa mji mkuu Chisinau.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bălţi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: