2 Pallas
Mandhari
2 Pallas (au Palasi; alama: ) ni asteroidi ya pili iliyowahi kutambuliwa katika Mfumo wa Jua. Iligunduliwa na mtibabu na mwanaastronomia Mjerumani Heinrich Wilhelm Matthäus Olbers mnamo 28 Machi 1802.[1]
Jina la "2 Pallas" inaunganisha jina lililotolewa na Olbers, pamoja na namba ya asteroidi iliyojulikana. Jina lenyewe limanrejelea Pallas Athena aliyeabudiwa kama mungu katika dini ya Ugirki ya Kale.[2]
2 Pallas ina masi inayokadiriwa kuwa asilimia 7% ya masi yaote ya ukanda wa asteroidi. [3] Ni asteroidi kubwa ya tatu kulingana na masi yake, na ya pili kwa kuangalia kipenyo chake. Umbo lake linafanana na duaradufu yenye vipenyo kati ya km 500 na km 582.
References
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "JPL Small-Body Database Browser". ssd.jpl.nasa.gov. 2011 [last update]. Iliwekwa mnamo March 21, 2011.
{{cite web}}
: Check date values in:|year=
(help) - ↑ Schmadel, Lutz D. (2003). Dictionary of minor planet names, Volume 1. Springer. uk. 15. ISBN 3540002383. Iliwekwa mnamo Machi 21, 2011.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pitjeva, E. V. (2005). "High-Precision Ephemerides of Planets—EPM and Determination of Some Astronomical Constants" (PDF). Solar System Research. 39 (3): 176. doi:10.1007/s11208-005-0033-2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-09-07. Iliwekwa mnamo 2021-02-14.
{{cite journal}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)