Nenda kwa yaliyomo

Pango (jiolojia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:29, 22 Desemba 2018 na Ndesanjo (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mapango ya Amboni kwa ndani.
Lechuguilla Cave, New Mexico, Marekani.

Pango (kwa Kiingereza: "cave") katika jiolojia ni sehemu kubwa yenye uwazi iliyopo ardhini, kwenye mwamba au pia ndani ya mti mkubwa.

Mara nyingi linakuwa mahali pa kufichama au kufichia vitu.

Pia limedhaniwa na tamaduni mbalimbali kama za Afrika kuwa mahali pa kufichama au kuishi kwa mizimu n.k.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]