Thibitisho la kihisabati
Mandhari
Thibitisho la kihisabati ni njia ya kuonyesha kwa hakika kwamba wazo moja la hisabati ni sahihi. Kwa ajili hiyo ni lazima kuthibitisha kwamba hilo wazo ni sahihi daima. Njia za namna hiyo ni mbalimbali na zinatumia hoja, pengine zikianzia mawazo yaliyokwishatibithishwa.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bill Casselman. "One of the Oldest Extant Diagrams from Euclid". University of British Columbia. Iliwekwa mnamo Septemba 26, 2008.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Pólya, G. (1954), Mathematics and Plausible Reasoning, Princeton University Press.
- Fallis, Don (2002), "What Do Mathematicians Want? Probabilistic Proofs and the Epistemic Goals of Mathematicians", Logique et Analyse, 45: 373–88.
- Franklin, J.; Daoud, A. (2011), Proof in Mathematics: An Introduction, Kew Books, ISBN 978-0-646-54509-7.
- Gold, Bonnie; Simons, Rogers A. (2008). Proof and Other Dilemmas: Mathematics and Philosophy. MAA.
- Solow, D. (2004), How to Read and Do Proofs: An Introduction to Mathematical Thought Processes, Wiley, ISBN 978-0-471-68058-1.
- Velleman, D. (2006), How to Prove It: A Structured Approach, Cambridge University Press, ISBN 978-0-521-67599-4.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Proofs in Mathematics: Simple, Charming and Fallacious
- A lesson about proofs, in a course from Wikiversity
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thibitisho la kihisabati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |