Shiho Kohata
Mandhari
Shiho Kohata (alizaliwa 12 Novemba 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya AS Harima Albion.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shiho Kohata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |