Orodha ya lugha za Uajemi
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Uajemi:
- Kiaimaq
- Kialviri-Vidari
- Kiarabu ya Ghuba
- Kiarabu ya Mesopotamia
- Kiarmenia
- Kiashtiani
- Kiaramaiki Mpya ya Assyria
- Kiavestan
- Kiazeri ya Kusini
- Kibakhtiari
- Kibalochi ya Magharibi
- Kibalochi ya Kusini
- Kibashkardi
- Kibrahui
- Kidari ya Kizoroastri
- Kidezfuli
- Kidomari
- Kidzhidi
- Kieshtehardi
- Kifars ya Kaskazini-Magharibi
- Kifars ya Kusini-Magharibi
- Kifarsi ya Kiajemi
- Kigazi
- Kigeorgia
- Kigilaki
- Kigozarkhani
- Kigurani
- Kiharzani
- Kihazaragi
- Kijadgali
- Kikabatei
- Kikajali
- Kikaringani
- Kikashkay
- Kikazakh
- Kikhalaj
- Kikhalaj ya Kiturki
- Kikho'ini
- Kikhunsari
- Kikoresh-e-Rostam
- Kikoroshi
- Kikumzari
- Kikurdi ya Kaskazi
- Kikurdi ya Kati
- Kikurdi ya Kusini
- Kilaki
- Kilari
- Kilasgerdi
- Kiluri ya Kaskazini
- Kiluri ya Kusini
- Kimandaiki
- Kimandaiki ya Zamani
- Kimaraghei
- Kimazanderani
- Kinatanzi
- Kinayini
- Kiparsi-Dari
- Kipashto ya Kusini
- Kirazajerdi
- Kiromani ya Balkan
- Kirudbari
- Kisalchuq
- Kisangisari
- Kisemnani
- Kisenaya
- Kishahmirzadi
- Kishahrudi
- Kisivandi
- Kisoi
- Kisorkhei
- Kitakestani
- Kitalysh
- Kitaromi ya Juu
- Kitat ya Kiislamu
- Kiturkmen
- Kituruki ya Khorasani
- Kivafsi