Nenda kwa yaliyomo

Kiarmenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maandishi ya Kiarmenia, karne ya 5–6.
Biblia ya kwanza kwa lugha ya Kiarmenia.

Kiarmenia ni lugha ya pekee katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kinatumiwa na watu milioni 6, hasa nchini Armenia (ambapo ni lugha rasmi) na kandokando yake.

Alfabeti yake maalumu ilibuniwa na Mesrop Mashtots mwaka 405.

Fasihi yake ina historia ndefu, ikianza na tafsiri ya Biblia ya karne ya 5.

  • Dum-Tragut, Jasmine (2009), Armenian: Modern Eastern Armenian, Amsterdam: John Benjamins Publishing Company
  • Fortson, Benjamin W. (2004), Indo-European Language and Culture, Oxford: Blackwell Publishing
  • Hübschmann, Heinrich (1875), "Über die Stellung des armenischen im Kreise der indogermanischen Sprachen", Zeitschrift für Vergleichende Sprachforschung, 23: 5–42, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-12-21, iliwekwa mnamo 2015-04-18 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  • Price, G. (1998), Encyclopedia of European languages, Oxford University Press

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Adjarian, Herchyah H. (1909) Classification des dialectes arméniens, par H. Adjarian. Paris: Honoro Champion.
  • Clackson, James. 1994. The Linguistic Relationship Between Armenian and Greek. London: Publications of the Philological Society, No 30. (and Oxford: Blackwell Publishing)
  • Holst, Jan Henrik (2009) Armenische Studien. Wiesbaden: Harrassowitz.
  • Mallory, J. P. (1989) In Search of the Indo-Europeans: Language, Archaeology and Myth. London: Thames & Hudson.
  • Vaux, Bert. 1998. The Phonology of Armenian. Oxford: Clarendon Press.
  • Vaux, Bert. 2002. "The Armenian dialect of Jerusalem." in Armenians in the Holy Land. "Louvain: Peters.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikipedia
Wikipedia
Kiarmenia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Armenian Online Dictionaries

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarmenia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.