Nenda kwa yaliyomo

Nusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stempu ya Ireland ya mwaka 1940 yenye thamani ya nusu "penny".

Nusu (kutoka neno la Kiarabu نصف nisf) ni kipande cha kitu kizima au sehemu ya pili ya jumla fulani.

Katika hisabati ni kwamba jumla hiyo imegawiwa katika sehemu mbili zilizo sawa. Hivyo inaandikwa 1/2, 0.5 au pia 0.49999999...

Katika lugha ya kawaida inaweza kuwa na maana ya sehemu tu, bila kujali ukubwa wake, kama ni 50% au juu au chini ya hapo.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.