Lugha za Kifini-Kiugori
Mandhari
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ae/Lenguas_finougrias.png/220px-Lenguas_finougrias.png)
Lugha za Kifini-Kiugori ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa barani Ulaya hasa upande wa Kaskazini-Mashariki. Lugha zizungumzwazo kama lugha rasmi nchini mwake ni Kifini, Kihungaria na Kiestonia. Lugha za Kifini-Kiugori ni tawi moja la lugha za Kiurali pamoja na lugha za Kisamoyedi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kifini-Kiugori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |