Lua
Lua | |
---|---|
Shina la studio | namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee
namna nyingi namna ya utaratibu |
Imeanzishwa | Januari 1 1993 |
Mwanzilishi | Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: C++, CLU, Modula, Scheme, SNOBOL
Ilivuta: GameMonkey, Io, JavaScript, Julia, MiniD, Red, Ring, Ruby, Squirrel, MoonScript, C--Seed7 |
Mahala | MIT License |
Tovuti | https://www.lua.org |
Lua ni lugha ya programu. Iliundwa na Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1993. Iliundwa ili kuumba mifumo ya uendeshaji na michezo ya video. Leo tunatumia Lua 5.3.5 . Ilivutwa na C++.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa mwaka wa 1993 nchini Brazil. Lakini Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes walianza kufanya kazi kuhusu Lua mwaka wa 1992.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya Lua ni ile inayozingatiwa kuhusu kipengee, namna nyingi na ya utaratibu.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya Lua ni rahisi sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama C#, Visual Basic au Java. Ilivutwa na sintaksia ya Modula, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Lua
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
print("Jambo ulimwengu !")
Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.
function factorial(n)
local x = 1
for i = 2, n do
x = x * i
end
return x
end
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ierusalimschy, R. (2013). Programming in Lua (3rd ed.). Lua.org. ISBN 978-85-903798-5-0. (The 1st ed. is available online.)
- Gutschmidt, T. (2003). Game Programming with Python, Lua, and Ruby. Course Technology PTR. ISBN 978-1-59200-077-7.
- Schuytema, P.; Manyen, M. (2005). Game Development with Lua. Charles River Media. ISBN 978-1-58450-404-7.
- Jung, K.; Brown, A. (2007). Beginning Lua Programming. Wrox Press. ISBN 978-0-470-06917-2. Archived from the original on 8 July 2018. Retrieved 7 July 2018.
- Figueiredo, L. H.; Celes, W.; Ierusalimschy, R., eds. (2008). Lua Programming Gems. Lua.org. ISBN 978-85-903798-4-3.