Nenda kwa yaliyomo

Longyearbyen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya eneo lililopo ndani ya Longyearbyen
Longyearbyen

Longyearbyen ni makao makuu ya utawala wa Norwei kwenye visiwa vya Svalbard. Mji huu mdogo uko kwenye kisiwa cha Spitsbergen.

Longyearbyen ni kati ya makazi ya kibinadamu ya kaskazini kabisa duniani. Kwa jumla kuna wakazi 1,800 wengi wao Wanorwei na wengine Warusi.

Mji ulianzishwa mnamo 1906 kama makazi ya wafanyakazi wa migodi ya makaa mawe.

Picha za Longyearbyen

[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Longyearbyen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.