Ernst Haeckel
Mandhari
Heinrich Philipp August Haeckel (Potsdam, 16 Februari 1834 - Jena, 9 Agosti 1919) alikuwa mtaalamu wa biolojia na falsafa kutoka nchini Ujerumani.
Utaalamu wake ulikuwa hasa katika zuolojia akakusanya, kueleza na kuzipa majina spishi elfu kadhaa za wanyama. Alijishughulisha na kazi za Charles Darwin, alitumia wakati mwingi kutangaza katika Ujerumani matokeo ya kazi ya Darwin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Marine Biological Laboratory Library Ilihifadhiwa 8 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. - An exhibition of material on Haeckel, including background on many Kunsformen der Natur plates
- University of California, Berkeley - Ernst Haeckel biography
- Ernst Haeckel – Evolution's controversial artist. A slide-show essay about Ernst Haeckel.
- Kunstformen der Natur, Wikimedia Commons: over 100 detailed animal drawings.
- Kunstformen der Natur, scanned (from biolib.de Stuebers Online Library)
- PNG alpha-transparencies of Haeckel's "Kustformen der natur"
- Proteus - An animated documentary film on the life and work of Ernst Haeckel
- Ernst Haeckel Haus Ilihifadhiwa 15 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. and Ernst Haeckel Museum in Jena
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernst Haeckel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |