9 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Agosti ni siku ya 221 ya mwaka (ya 222 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 144.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1471 - Uchaguzi wa Papa Sixtus IV
- 1945 - Bomu la nyuklia la pili katika historia linatupwa juu ya mji wa Nagasaki (Japani)
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1911 - William Fowler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1983
- 1939 - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 1963 - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1976 - Rhona Mitra, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 117 - Traian, Kaisari wa Dola la Roma (98-117)
- 1048 - Papa Damaso II
- 1107 - Horikawa, mfalme mkuu wa Japani (1087-1107)
- 1918 - Mtakatifu Mariana wa Molokai, bikira Mfransisko nchini Marekani
- 1942 - Mtakatifu Edith Stein (Teresa Benedikta wa Msalaba), bikira mwanafalsafa Myahudi, halafu mmonaki Mkarmeli mfiadini kutoka Ujerumani
- 1962 - Hermann Hesse, mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946
- 1969 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1978 - James Gould Cozzens, mwandishi kutoka Marekani
- 1991 - Mwenye heri Michał Tomaszek, O.F.M.Conv., padri mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 1991 - Mwenye heri Zbigniew Strzałkowski, O.F.M.Conv., padri mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 1996 - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teresa Benedikta wa Msalaba, Romano wa Roma, Natei, Felimi, Wafiadini wa Mlango wa Shaba, Kandida Maria wa Yesu n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |