Nenda kwa yaliyomo

Duje Ćaleta-Car

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ćaleta-Car mnamo 2022

Duje Ćaleta-Car (alizaliwa 17 Septemba 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kroatia, ambae anacheza kama beki katika klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa akitokea klabu ya Southampton kwa mkopo na timu ya taifa ya Kroatia .[2]

  1. https://web.archive.org/web/20190611000407/https://www.fifadata.com/documents/FWC/2018/pdf/FWC_2018_SQUADLISTS.PDF
  2. "Hrvatski jezični portal". hjp.znanje.hr. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Duje Ćaleta-Car kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.