Nenda kwa yaliyomo

Chupi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chupi za kike.

Chupi ni nguo/vazi dogo ambalo huvaliwa ndani kwa ajili ya kukinga viungo vya uzazi vya wanawake na wanaume.

Chupi huwa tofauti kadiri ya jinsia.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chupi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.