Nenda kwa yaliyomo

Chaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chaki

Chaki (kutoka neno la Kiingereza "chalk") ni aina ya changarawe ambayo inatokana na madini ya calcite.

Calcite ni chumvi ya ioniki ambayo imetokana na calcium carbonate (CaCO3) ambayo inakotoka ni chini ya bahari.

Inatumika sana shuleni kuandikia ubaoni.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.