Adhuhuri
Mandhari
Adhuhuri (kutoka Kiarabu الظهر) ni kipindi cha mchana ambapo jua liko juu zaidi, baina ya asubuhi na alasiri.
Adhuhuri ni kipindi kati ya saa sita na saa nane za mchana[1].
Kinyume chake ni usiku kati.
Kwa kawaida binadamu anatumia nafasi hiyo kupumzika kidogo na kupata chakula kabla hajaendelea na kazi.
Vivyo hivyo, dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uislamu, zinamuelekeza kumkumbuka zaidi Mungu kwa kusali kidogo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ makala "adhuhuri", Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza ya TUKI (Taasisi ya Utafiti wa Kiswahili, au kama Institute of Kiswahili Research ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania), toleo la mwaka 2001
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Media related to Noon at Wikimedia Commons
- Generate a solar noon calendar for your location
- U.S. Government Printing Office Style Manual (2008), 30th edition Archived 1 Juni 2009 at the Wayback Machine.
- Shows the hour and angle of sunrise, noon, and sunset drawn over a map.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adhuhuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |