Usiku wa manane
Mandhari
Usiku wa manane (pia: usiku wa manani) ni kipindi cha usiku baada ya masaa 8 hivi ya giza.
Mara nyingi kinaendana na kuvika kwa jogoo kwa mara ya kwanza katika siku mpya.
Katika dini mbalimbali, hususan Ukristo, ni wakati muhimu wa sala, hasa kwa wale wanaokesha.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |