31 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Machi ni siku ya 90 ya mwaka (ya 91 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 275.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1829 - Uchaguzi wa Papa Pius VIII
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 250 - Constantius Chlorus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1499 - Papa Pius IV
- 1596 - René Descartes, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1675 - Papa Benedikt XIV
- 1890 - Lawrence Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
- 1906 - Shinichiro Tomonaga, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 1914 - Octavio Paz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1990
- 1932 - Walter Gilbert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 1934 - Carlo Rubbia, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1984
- 1948 - Al Gore, Kaimu Rais wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani (2007)
- 1969 - Nyamko Sabuni, mwanasiasa wa kike wa Uswidi
- 1978 - Tony Yayo, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1985 - Mr Puaz, mwanamuziki wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1727 - Isaac Newton, mwanasayansi maarufu duniani kutoka Uingereza
- 1850 - John C. Calhoun, Kaimu Rais wa Marekani (1825-1832)
- 1917 - Emil von Behring, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1901
- 1945 - Hans Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1930
- 2001 - Clifford Shull, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 2009 - Raúl Alfonsín, rais wa Argentina (1983-1989)
- 2012 - Cosmas Desmond, mwandishi wa Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Benyamini wa Argol, Balbina wa Roma, Agilolfo, Gwido wa Pomposa n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |