11 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Desemba ni siku ya 345 ya mwaka (ya 346 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 20.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1475 - Papa Leo X
- 1803 - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1843 - Robert Koch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905
- 1882 - Max Born, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1911 - Nagib Mahfuz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1988
- 1918 - Aleksandr Solzhenitsyn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1970
- 1925 - Paul Greengard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 1943 - John Kerry, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1957 - Antonio Napolioni, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 1963 - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
- 1967 - DJ Yella, mwanamuziki wa Marekani
- 1973 - Mos Def, mwanamuziki wa Marekani
- 1981 - Mohamed Zidan, mchezaji mpira kutoka Misri
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 384 - Mtakatifu Papa Damaso I
- 1840 - Kokaku, Mfalme Mkuu wa 119 wa Japani (1779-1817)
- 1938 - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 1978 - Vincent du Vigneaud, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1955
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Damaso I, Vitoriko na Fushano, Sabino wa Piacenza, Danieli wa Mnarani, Maria Maajabu wa Yesu n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |