Ziwa Bunyonyi
Mandhari
Ziwa Bunyonyi (yaani Mahali pa vindege wengi) ni ziwa dogo la Uganda lililopo kwenye kwenye kusini ya nchi hiyo, wilaya ya Kabale, karibu na mpaka wa Rwanda.[1]
Ziwa lina urefu wa kilomita 25 na upana wa kilomita 7. Eneo lake ni hektari 6100. Kuna visiwa 29.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Maclean, Ilya. (2003). Social and economic use of wetland resources : a case study from Lake Bunyonyi, Uganda. Centre for Social and Economic Research on the Global Environment. OCLC 1064481271.
Kujisomea
[hariri | hariri chanzo]- UNEMA (2009), Uganda: Atlas of our Changing Environment (PDF), Uganda National Environment Management Authority, uk. 94
- Visser, S.A. (1962), "Chemical Investigations into a System of Lakes, Rivers and Swamps in S.W. Kigezi, Uganda", East African Agricultural and Forestry Journal, 28 (2): 81–86, doi:10.1080/00128325.1962.11661848
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- https://www.youtube.com/watch?v=459-IrnCR5Y - a beautiful video about lake Bunyonyi
- http://www.bunyonyi.org - A guide To Lake Bunyonyi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Bunyonyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |