William Wordsworth
Mandhari
William Wordsworth (7 Aprili 1770 – 23 Aprili 1850) alikuwa mwandishi na mshairi muhimu wa karne ya 19 nchini Uingereza. Maandiko yake yahesabiwa kati ya fasihi ya kiromantiki na amesifiwa hasa kwa shairi ya "The Prelude" (= Utangulizi).
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa kama mtoto wa mwanasheria akasoma kwenye chuo kikuu cha Cambridge. Alipokuwa mwanafunzi alipenda habari za mapinduzi ya Ufaransa akatembelea nchi hii mwaka 1890. Baadaye alichukia siasa ya mapinduzi Wafaransa walipovamia Uswisi mwaka 1798 akaendelea kusimama upande wa watetezi wa utaratibu wa kale.
Tangu 1793 alianza kutoa shairi zake zilizopendwa na wasomaji.
1805 alimwoa Mary Hutchinson akazaa naye watoto 5.
Akaendelea kuwa maarufu na mwaka 1843 akapokea cheo cha mshairi rasmi wa mfalme.
Maandiko muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Lyrical Ballads, with a Few Other Poems (1798)
- Lyrical Ballads, with Other Poems (1800)
- Poems, in Two Volumes (1807)
- The Excursion (1814)
- Ecclesiastical Sketches (1822)
- The Prelude (1850, posthumous)
Marejeo ya Nje
[hariri | hariri chanzo]- M. H. Abrams, mhr. (2000). The Norton Anthology of English Literature: Volume 2A, The Romantic Period (7th ed.). New York: W. W. Norton & Company, Inc. ISBN 0-393-97568-1.
- Stephen Gill, mhr. (2000). William Wordsworth: The Major Works. New York: Oxford University Press, Inc. ISBN 0-19-284044-4.
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Viungo vingine
[hariri | hariri chanzo]- Short biographical sketch by Glenn Everett
- Worsworth's links with Claines, Worcester
- Wordsworth and the Lake District
- Wordsworth's Grave
- A Wordsworth FAQ by Thomas C. Gannon
- Biography and Works
- Wordsworth and the Lake District Ilihifadhiwa 22 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
- The Wordsworth Trust
- Romantic Circles -- Excellent Editions & Articles on Wordsworth and other Authors of the Romantic period
Maandiko ya Wordsworth mtandaoni
[hariri | hariri chanzo]- en:wikisource
- Bartleby.com's complete poetical works by Wordsworth
- Selected Poems by W.Wordsworth
- Biography and Works
- Works by William Wordsworth katika Project Gutenberg
- Poetry Archive: 166 poems of William Wordsworth
- To Toussaint Louverture - poem by William Wordsworth Ilihifadhiwa 23 Februari 2006 kwenye Wayback Machine.
- Extensive Information on Wordsworth's Poem, Lines Written a Few Miles above Tintern Abbey Ilihifadhiwa 11 Machi 2005 kwenye Wayback Machine.