Visenta Maria Lopez
Mandhari

Visenta Maria Lopez (Cascante, Hispania, 22 Machi 1847 - Madrid, 26 Desemba 1890) alikuwa bikira ambaye alianzisha na kueneza ndani ya Kanisa Katoliki shirika la Masista wa Maria Imakulata ili kuhudumia kiroho na kiuchumi wasichana wanaoishi mbali na familia zao na wanaofanya kazi kwenye nyumba za waajiri wao [1].
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri mwaka 1950 na Papa Paulo VI mtakatifu mwaka 1975.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |