Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sapporo Dome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Sapporo Dome

Uwanja wa Michezo wa Sapporo Dome ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Sapporo, Hokkaido nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Consadole Sapporo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 41,484.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sapporo Dome kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.