Nenda kwa yaliyomo

Ukumbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukumbi wa msikiti, Kairouan, Tunisia.

Ukumbi (kwa Kiingereza: hall) ni jengo maalumu ambalo lina nafasi kubwa kupokea watu wengi pamoja ndani ya kuta zake.

Ukumbi mpana unaweza kuhitajika hasa kwa ajili ya ibada, sherehe, mikutano mikubwa n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukumbi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.