Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya
Mandhari
Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na hutolewa kumheshimu mwandishi Mwarekani aliyeandika tamthiliya hodari katika mwaka uliopita.
Kuanzia 1983, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.
Washindi
[hariri | hariri chanzo]Katika miaka 97 hadi 2013, Tuzo ya Tamthiliya ilitolewa mara 82; hakuwa na tuzo katika miaka kumi na mitano. Waandishi mbalimbali wametuzwa Tuzo hiyo zaidi ya mara moja:
- Eugene O'Neill, 1920, 1922, 1928 na 1957
- George S. Kaufman, 1932 na 1937 (pamoja na watungaji wengine)
- Robert E. Sherwood, 1936, 1939 na 1941
- Thornton Wilder, 1938 na 1943
- Tennessee Williams, 1948 na 1955
- Edward Albee, 1967, 1975 na 1994
- August Wilson, 1987 na 1990
Miaka ya 1910
[hariri | hariri chanzo]- 1917: hakuna tuzo
- 1918: Why Marry? kutungwa na Jesse Lynch Williams
- 1919: hakuna tuzo
Miaka ya 1920
[hariri | hariri chanzo]- 1920: Beyond the Horizon kutungwa na Eugene O'Neill
- 1921: Miss Lulu Bett kutungwa na Zona Gale
- 1922: Anna Christie kutungwa na Eugene O'Neill
- 1923: Icebound kutungwa na Owen Davis
- 1924: Hell-Bent Fer Heaven kutungwa na Hatcher Hughes
- 1925: They Knew What They Wanted kutungwa na Sidney Howard
- 1926: Craig's Wife kutungwa na George Kelly
- 1927: In Abraham's Bosom kutungwa na Paul Green
- 1928: Strange Interlude kutungwa na Eugene O'Neill
- 1929: Street Scene kutungwa na Elmer Rice
Miaka ya 1930
[hariri | hariri chanzo]- 1930: The Green Pastures kutungwa na Marc Connelly
- 1931: Alison's House kutungwa na Susan Glaspell
- 1932: Of Thee I Sing kutungwa na George S. Kaufman, Morrie Ryskind na Ira Gershwin
- 1933: Both Your Houses kutungwa na Maxwell Anderson
- 1934: Men in White kutungwa na Sidney Kingsley
- 1935: The Old Maid kutungwa na Zoë Akins
- 1936: Idiot's Delight kutungwa na Robert E. Sherwood
- 1937: You Can't Take It with You kutungwa na Moss Hart na George S. Kaufman
- 1938: Our Town kutungwa na Thornton Wilder
- 1939: Abe Lincoln in Illinois kutungwa na Robert E. Sherwood
Miaka ya 1940
[hariri | hariri chanzo]- 1940: The Time of Your Life kutungwa na William Saroyan
- 1941: There Shall Be No Night kutungwa na Robert E. Sherwood
- 1942: hakuna tuzo
- 1943: The Skin of Our Teeth kutungwa na Thornton Wilder
- 1944: hakuna tuzo
- 1945: Harvey kutungwa na Mary Coyle Chase
- 1946: State of the Union kutungwa na Russel Crouse, Howard Lindsay
- 1947: hakuna tuzo
- 1948: A Streetcar Named Desire kutungwa na Tennessee Williams
- 1949: Death of a Salesman kutungwa na Arthur Miller
Miaka ya 1950
[hariri | hariri chanzo]- 1950: South Pacific kutungwa na Richard Rodgers, Oscar Hammerstein II na Joshua Logan
- 1951: hakuna tuzo
- 1952: The Shrike kutungwa na Joseph Kramm
- 1953: Picnic kutungwa na William Inge
- 1954: The Teahouse of the August Moon kutungwa na John Patrick
- 1955: Cat on a Hot Tin Roof kutungwa na Tennessee Williams
- 1956: The Diary of Anne Frank kutungwa na Albert Hackett na Frances Goodrich
- 1957: Long Day's Journey into Night kutungwa na Eugene O'Neill
- 1958: Look Homeward, Angel kutungwa na Ketti Frings
- 1959: J.B. kutungwa na Archibald MacLeish
Miaka ya 1960
[hariri | hariri chanzo]- 1960: Fiorello! kutungwa na Jerome Weidman, George Abbott, Jerry Bock, na Sheldon Harnick
- 1961: All the Way Home kutungwa na Tad Mosel
- 1962: How to Succeed in Business Without Really Trying kutungwa na Frank Loesser na Abe Burrows
- 1963: hakuna tuzo (Tamthiliya ya Who's Afraid of Virginia Woolf? iliyotungwa na Edward Albee ilipendekezwa bila kupata tuzo lakini.)
- 1964: hakuna tuzo
- 1965: The Subject Was Roses kutungwa na Frank D. Gilroy
- 1966: hakuna tuzo
- 1967: A Delicate Balance kutungwa na Edward Albee
- 1968: hakuna tuzo
- 1969: The Great White Hope kutungwa na Howard Sackler
Miaka ya 1970
[hariri | hariri chanzo]- 1970: No Place to be Somebody kutungwa na Charles Gordone
- 1971: The Effect of Gamma Rays on Man-in-the-Moon Marigolds kutungwa na Paul Zindel
- 1972: hakuna tuzo
- 1973: That Championship Season kutungwa na Jason Miller
- 1974: hakuna tuzo
- 1975: Seascape kutungwa na Edward Albee
- 1976: A Chorus Line kutungwa na Michael Bennett, Nicholas Dante na James Kirkwood, Jr., Marvin Hamlisch na Edward Kleban
- 1977: The Shadow Box kutungwa na Michael Cristofer
- 1978: The Gin Game kutungwa na Donald L. Coburn
- 1979: Buried Child kutungwa na Sam Shepard
Miaka ya 1980
[hariri | hariri chanzo]- 1980: Talley's Folly kutungwa na Lanford Wilson
- 1981: Crimes of the Heart kutungwa na Beth Henley
- 1982: A Soldier's Play kutungwa na Charles Fuller
- 1983: 'night, Mother kutungwa na Marsha Norman
- True West kutungwa na Sam Shepard
- 1984: Glengarry Glen Ross kutungwa na David Mamet
- Fool for Love kutungwa na Sam Shepard
- Painting Churches kutungwa na Tina Howe
- 1985: Sunday in the Park with George kutungwa na James Lapine na Stephen Sondheim
- The Dining Room kutungwa na A. R. Gurney
- The Gospel at Colonus kutungwa na Lee Breuer na Bob Telson
- 1986: hakuna tuzo
- 1987: Fences kutungwa na August Wilson
- Broadway Bound kutungwa na Neil Simon
- A Walk in the Woods kutungwa na Lee Blessing
- 1988: Driving Miss Daisy kutungwa na Alfred Uhry
- Boy's Life kutungwa na Howard Korder
- Talk Radio kutungwa na Eric Bogosian
- 1989: The Heidi Chronicles kutungwa na Wendy Wasserstein
- Joe Turner's Come na Gone kutungwa na August Wilson
- M. Butterfly kutungwa na David Henry Hwang
Miaka ya 1990
[hariri | hariri chanzo]- 1990: The Piano Lesson kutungwa na August Wilson
- And What of the Night? kutungwa na María Irene Fornés
- Love Letters kutungwa na A. R. Gurney
- 1991: Lost in Yonkers kutungwa na Neil Simon
- Prelude to a Kiss kutungwa na Craig Lucas
- Six Degrees of Separation kutungwa na John Guare
- 1992: The Kentucky Cycle kutungwa na Robert Schenkkan
- Conversations with My Father kutungwa na Herb Gardner
- Miss Evers' Boys kutungwa na David Feldshuh
- Two Trains Running kutungwa na August Wilson
- Sight Unseen kutungwa na Donald Margulies
- 1993: Angels in America: Millennium Approaches kutungwa na Tony Kushner
- The Destiny of Me kutungwa na Larry Kramer
- Fires in the Mirror kutungwa na Anna Deavere Smith
- 1994: Three Tall Women kutungwa na Edward Albee
- Keely na Du kutungwa na Jane Martin
- A Perfect Ganesh kutungwa na Terrence McNally
- 1995: The Young Man From Atlanta kutungwa na Horton Foote
- The Cryptogram kutungwa na David Mamet
- Seven Guitars kutungwa na August Wilson
- 1996: Rent kutungwa na Jonathan Larson
- A Fair Country kutungwa na Jon Robin Baitz
- Old Wicked Songs kutungwa na Jon Marans
- 1997: hakuna tuzo
- Collected Stories kutungwa na Donald Margulies
- The Last Night of Ballyhoo kutungwa na Alfred Uhry
- Pride's Crossing kutungwa na Tina Howe
- 1998: How I Learned to Drive kutungwa na Paula Vogel
- Freedomland kutungwa na Amy Freed
- Three Days of Rain kutungwa na Richard Greenberg
- 1999: Wit kutungwa na Margaret Edson
- Running Man kutungwa na Cornelius Eady na Diedre Murray
- Side Man kutungwa na Warren Leight
Miaka ya 2000
[hariri | hariri chanzo]- 2000: Dinner with Friends kutungwa na Donald Margulies
- In the Blood kutungwa na Suzan-Lori Parks
- King Hedley II kutungwa na August Wilson
- 2001: Proof kutungwa na David Auburn
- The Play About the Baby kutungwa na Edward Albee
- The Waverly Gallery kutungwa na Kenneth Lonergan
- 2002: Topdog/Underdog kutungwa na Suzan-Lori Parks
- The Glory of Living kutungwa na Rebecca Gilman
- Yellowman kutungwa na Dael Orlandersmith
- 2003: Anna in the Tropics kutungwa na Nilo Cruz
- The Goat or Who Is Sylvia? kutungwa na Edward Albee
- Take Me Out kutungwa na Richard Greenberg
- 2004: I Am My Own Wife kutungwa na Doug Wright
- Man from Nebraska kutungwa na Tracy Letts
- Omnium Gatherum kutungwa na Theresa Rebeck na Alexandra Gersten-Vassilaros
- 2005 Doubt: A Parable kutungwa na John Patrick Shanley
- The Clean House kutungwa na Sarah Ruhl
- Thom Pain (based on nothing) kutungwa na Will Eno
- 2006: hakuna tuzo
- Miss Witherspoon kutungwa na Christopher Durang
- The Intelligent Design of Jenny Chow kutungwa na Rolin Jones
- Red Light Winter kutungwa na Adam Rapp
- 2007: Rabbit Hole kutungwa na David Lindsay-Abaire
- Bulrusher kutungwa na Eisa Davis
- Orpheus X kutungwa na Rinde Eckert
- Elliot, a Soldier's Fugue kutungwa na Quiara Alegría Hudes
- 2008 August: Osage County kutungwa na Tracy Letts
- Dying City kutungwa na Christopher Shinn
- Yellow Face kutungwa na David Henry Hwang
- 2009 Ruined kutungwa na Lynn Nottage
- Becky Shaw kutungwa na Gina Gionfriddo
- In the Heights kutungwa na Lin-Manuel Miranda na Quiara Alegría Hudes
Miaka ya 2010
[hariri | hariri chanzo]- 2010: Next to Normal kutungwa na Tom Kitt na Brian Yorkey
- Bengal Tiger at the Baghdad Zoo kutungwa na Rajiv Joseph
- The Elaborate Entrance of Chad Deity kutungwa na Kristoffer Diaz
- In the Next Room (or The Vibrator Play) kutungwa na Sarah Ruhl
- 2011: Clybourne Park kutungwa na Bruce Norris
- Detroit kutungwa na Lisa D'Amour
- A Free Man of Color kutungwa na John Guare
- 2012: Water by the Spoonful kutungwa na Quiara Alegría Hudes
- Other Desert Cities kutungwa na Jon Robin Baitz
- Sons of the Prophet kutungwa na Stephen Karam
- 2013: Disgraced kutungwa na Ayad Akhtar
- Rapture, Blister, Burn kutungwa na Gina Gionfriddo
- 4000 Miles kutungwa na Amy Herzog
- 2014: The Flick kutungwa na Annie Baker
- The (Curious Case of the) Watson Intelligence kutungwa na Madeleine George
- Fun Home kutungwa na Jeanine Tesori na Lisa Kron
- 2015: Between Riverside na Crazy kutungwa na Stephen Adly Guirgis
- Marjorie Prime kutungwa na Jordan Harrison
- Father Comes Home From the Wars (Parts 1, 2, 3) kutungwa na Suzan-Lori Parks
- 2016: Hamilton kutungwa na Lin-Manuel Miranda
- The Humans kutungwa na Stephen Karam
- Gloria kutungwa na Branden Jacobs-Jenkins