Theodore Roosevelt
Theodore Roosevelt | |
![]() Theodore Roosevelt mnamo 1904 | |
Muda wa Utawala Septemba 14, 1901 – Machi 4, 1909 | |
Makamu wa Rais | Hapakuwa na naibu wa rais (1901–1905) Charles W. Fairbanks(1905–1909) |
mtangulizi | William McKinley |
aliyemfuata | William Howard Taft |
tarehe ya kuzaliwa | New York City, New York, Marekani. | Oktoba 27, 1858
tarehe ya kufa | 6 Januari 1919 (umri 60) Oyster Bay, New York, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | Youngs Memorial Cemetery, Oyster Bay |
chama | Republican (1880–1911, 1916–1919) |
ndoa |
|
watoto | *Alice Roosevelt Longworth
|
mhitimu wa | Harvard University |
signature | ![]() |
Theodore Roosevelt (27 Oktoba 1858 – 6 Januari 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa ishirini na sita wa Marekani. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu.
{{Navbox
| name = Marais wa Marekani
| title = Marais wa Marekani
| image =
| imageleft =
| list1 = 1 George Washington · 2 John Adams · 3 Thomas Jefferson · 4 James Madison · 5 James Monroe · 6 John Quincy Adams · 7 Andrew Jackson · 8 Martin Van Buren · 9 William Henry Harrison · 10 John Tyler · 11 James K. Polk · 12 Zachary Taylor · 13 Millard Fillmore · 14 Franklin Pierce · 15 James Buchanan · 16 Abraham Lincoln · 17 Andrew Johnson · 18 Ulysses S. Grant · 19 Rutherford B. Hayes · 20 James A. Garfield · 21 Chester Arthur · 22 Grover Cleveland · 23 Benjamin Harrison · 24 Grover Cleveland · 25 William McKinley · 26 Theodore Roosevelt · 27 William Howard Taft · 28 Woodrow Wilson · 29 Warren G. Harding · 30 Calvin Coolidge · 31 Herbert Hoover · 32 Franklin D. Roosevelt · 33 Harry S. Truman · 34 Dwight D. Eisenhower · 35 John F. Kennedy · 36 Lyndon B. Johnson · 37 Richard Nixon · 38 Gerald Ford · 39 Jimmy Carter · 40 Ronald Reagan · 41 George H. W. Bush · 42 Bill Clinton · 43 George W. Bush · 44 Barack Obama · 45 Donald Trump · 46 Joe Biden · 47 Donald Trump
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theodore Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |