Tauranga
Mandhari
Mji wa Tauranga (New Zealand) | |
Mkoa | Bay of Plenty |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 37°41′0″ - Longitudo: 176°10′0″E |
Eneo | 168 km² |
Wakazi | 114,300 (mji pekee) 120,000 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 680.4 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
Mahali | |
Tauranga (kwa Kimaori: Tauranga-moana) ni mji wa New Zealand wenye wakazi 143,000 (2010). Uko upande wa kaskazini wa funguvisiwa. Eneo lake ni km² 98. Mji ulianzishwa mwaka 1838.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|