Tampere
Mandhari
Tampere ni mji wa Ufini mwenye wakazi 206.000.
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Kuna vyuo vikuu viwili katika Tampere.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kanisa la zamani katika mraba.
-
Magofu katika Tampere wakati wa Vita Kifini wenyewe kwa wenyewe.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tampere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |