Nenda kwa yaliyomo

Stomata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stomata
Stomata katika jani la nyanya zilizoonyeshwa kupitia picha ya saratani ya hadubini ya umeme
Stomata katika jani la nyanya zilizoonyeshwa kupitia picha ya saratani ya hadubini ya umeme
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Mmea
Nusuhimaya: Majani
Ngeli: Stomata
Familia: Mimea

Stomata ni matundu yanayopatikana katika majani. Stomata hufanya kazi ya hupitisha hewa ili iweze kuingia katika mmea.

Matundu hayo ni mipaka na jozi ya seli maalumu za parenchyma zinazojulikana kama seli za ulinzi ambazo zinahusika na udhibiti wa ukubwa wa kufunguka kwa stomata.

Mimea hupumua kwa kutumia stomata hizo zilizopo kwenye majani. Katika upumuaji stomata hizo ndizo zinazopokea kabonidaioksaidi ili iweze kutumika na mmea katika kutengeneza chakula chake.

Stomata katika jani zilizoonyeshwa kupitia picha ya saratani ya hadubini ya elektroni.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stomata kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.