Nenda kwa yaliyomo

Song Jae-rim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Song Jae-rim

Song Jae-rim (Korean: 송재림; alijulikana kama Song Jae-lim, 18 Februari 198512 Novemba 2024) alikuwa mwigizaji na modeli kutoka Korea Kusini.

Alianza kazi yake kama modeli na baadaye akawa mwigizaji katika mfululizo wa tamthilia za K-drama. Alifariki ghafla mnamo mwaka 2024 akiwa na umri wa miaka 39, bila dalili zozote za maradhi. [1][2]

  1. Frater, Patrick (Novemba 13, 2024). "Song Jae-lim, South Korean Actor, Dies at 39". Variety. Iliwekwa mnamo Novemba 13, 2024.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ewe, Koh (Novemba 13, 2024). "South Korean actor Song Jae Lim dead at 39". BBC News. Iliwekwa mnamo Novemba 13, 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Song Jae-rim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.