Sienna Guillory
Sienna Guillory | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Sienna Tiggy Guillory |
Alizaliwa | 16 Machi 1975 |
Kazi yake | Mwigizaji Mwanamitindo |
Miaka ya kazi | 1996- hadi leo |
Ndoa | Enzo Cilenti (2002–hadi leo) |
Sienna Tiggy Guillory (amezaliwa tar. 16 Machi 1975) ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, na mwanamitindo wa Kiingereza. Mara nyingi alifanya kazi za uanamitindo mbali kidogo na sanaa ya uigizaji. Pia anafahamika zaidi kwa kuigiza kama Jill Valentine katika filamu ya Resident Evil: Apocalypse na kucheza tena kama Elf Arya Drottningu katika filamu ya Eragon.
Huyu ni binti wa mzee Isaac Guillory, mpiga gitaa Mwiingereza-Mkuba. Guillory amepata kuigiza katika filamu nyingi za Kiingereza, na kisha baadaye filamu za Kiamerika. Si muda mrefu sana, amepata kucheza katika filamu za uzushi wa kisayansi na za kifantasia, ambazo zilitungwa kwa ajili ya vijana/watoto.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Mahusiano
[hariri | hariri chanzo]Guillory alianza kutembea na mwigizaji mwenzake Nick Moran kunako mwaka wa 1997. Wawili hao walikuja kuachana baada ya miaka mitatu, yaani kunako mwaka wa 2000. Mwaka huohuo baadaye, akaanza kutembea na Enzo Cilenti. Cilenti na Guillory walioana kunako mwaka wa 2002, na wakati sherehe za ndoa yao Guillory alivaa gauni ya harusi la bibi yake.[1][2] Wawili hao wanaishi mjini Los Angeles na London, lakini kunako mwaka wa 2007, wanandoa hao wakaamua kuweka makazi yao rasmi mjini Los Angeles.[3]
Filamu alizocheza
[hariri | hariri chanzo]Filamu za kawaida
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Jina alilotumia | Maelezo |
---|---|---|---|
1996 | The Future Lasts a Long Time | Blue | |
1999 | The Rules of Engagement | Denise | |
Star! Star! | Lu | ||
2000 | Sorted | Sunny | |
Two Days, Nine Lives | Kate | ||
The 3 Kings | Roxana | ||
Kiss Kiss (Bang Bang) | Kat | ||
2001 | Oblivious | Jessica | |
Late Night Shopping | Susie | ||
The Last Minute | Kayak Girl | ||
Superstition | Julie | ||
2002 | The Time Machine | Emma | |
2003 | The Principles of Lust | Juliette | |
Love, Actually | Jamie's Girlfriend | ||
Helen of Troy | Helen | ||
2004 | Resident Evil: Apocalypse | Jill Valentine | |
2005 | In the Bathroom | The Woman | |
Silence Becomes You | Grace | ||
2006 | Rabbit Fever | Newscaster | |
Eragon | Arya Dröttningu | ||
2007 | El Corazón de la tierra | Katherine | English title: The Heart of the Earth |
Victims | Completed | ||
2009 | Inkheart | Resa | Post-production |
Televisheni
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Jina alilotumia | Maelezo |
---|---|---|---|
1993 | Riders | Fenella Maxwell | TV series |
1995 | The Buccaneers | Lady Felicia | Mfululizo mdogo wa katika TV |
1999 | Out of Sight | Ingrid | 2 sehemu |
Dzvirpaso M | 4 sehemu | ||
2000 | Take a Girl Like You | Jenny Bunn | TV movie |
2003 | Helen of Troy | Helen | Mfululizo mdogo wa katika TV |
2004 | Beauty | Cathy Wardle | Filamu ya TV |
2005 | Marple: A Murder Is Announced | Julia Simmons | 1 sehemu |
The Virgin Queen | Lettice Knollys | Mfululizo mdogo wa katika TV | |
est. 2008 | The Oaks | Jessica | Mfululizo wa katika TV |
2008 | Virtuality | Rika Goddard | Mfululizo wa katika TV |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Asome, Carolyn (2004-05-27). "something deeply unfeminist about a miniskirt". Cinemania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-15. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
{{cite news}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ "My hols: Sienna Guillory". travel.timesonline.co.uk. 2006-12-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-23. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
{{cite news}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ "LA Confidential", Company Magazine, Julai 2007, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-09, iliwekwa mnamo 2008-09-18
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date and year (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Sienna Guillory at the Internet Movie Database
- Sienna Guillory katika Movies.com
- Sienna Guillory katika Yahoo! Movies
- Sienna Guillory forum as Jill Valentine Ilihifadhiwa 19 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Fan site of Sienna Guillory, including all photo albums of her career Ilihifadhiwa 17 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Un-official Sienna Guillory site Ilihifadhiwa 26 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine.