Shizuoka, Shizuoka
Mandhari
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ed/Shizuoka_montage.jpg/280px-Shizuoka_montage.jpg)
Shizuoka | |
Nchi | Japani |
---|---|
Kanda | Chūbu |
Mkoa | Shizuoka |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 717 532 |
Tovuti: www.city.shizuoka.shizouka.jp |
Shizuoka (静岡市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Shizuoka. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 720 000 wanaoishi katika mji huu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 9 Julai 2005 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Shizuoka, Shizuoka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |