Sergi wa Radonezh
Mandhari
Sergi wa Radonezh[1] (kwa Kirusi Сергий Радонежский, Sergiy Radonezhsky; 14 Mei 1314 - 25 Septemba 1392) ni kati ya wamonaki maarufu zaidi wa Urusi kutokana na utakatifu wake.
Kisha kuishi kama mkaapweke misituni, alishika maisha ya kijumuia monasterini, na baada ya kufanywa abati, aliyaeneza, akiwa mtu mpole, mshauri wa watawala na mfariji wa waumini wote[2].
Sergi alitangazwa mtakatifu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Kirusi mwaka 1452[3][4][5] au 1448[6][7][8]. Hata Kanisa Katoliki[9][10][11], Waanglikana[12] na Walutheri[13] wanamheshimu hivyo.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[14][15] lakini pia tarehe 5 Julai.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""The Life of our Venerable Father Amongst the Saints St. Sergius of Radonezh", St. Sergius of Radonezh Russian Orthodox Cathedral, Parma, Ohio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-18. Iliwekwa mnamo 2024-06-11.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/71950
- ↑ "Сергий Радонежский". История Отечества с древнейших времен до наших дней. Большая российская энциклопедия (издательство).
- ↑ Кучкин, Владимир Андреевич. "Сергий Радонежский". Great Soviet Encyclopedia Большая Советская Энциклопедия.
- ↑ Gritsanov, Alexander Alekseevich; Sinilo, G. V., eds. (2007). "Сергий Радонежский". Религия: Энциклопедия. Книжный Дом. p. 960.
- ↑ Собрание государственных грамот и договоров. М., 1813. Том 1. № 63, 68.
- ↑ Смирнов, Михаил Иванович. Культ Сергия Радонежского (Исторический очерк) // Антирелигиозник. 1940. № 5—6. С. 32—39.
- ↑ Филимонов С. Б. Обзор архива М. И. Смирнова // Археографический ежегодник за 1971 г. М., 1972. С. 318—324.
- ↑ "Honoring Eastern Orthodox Saints | EWTN". EWTN Global Catholic Television Network (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-31.
- ↑ "St. Sergius of Radonezh - Saints & Angels".
- ↑ Butler, Alban; Thurston, Herbert; Attwater, Donald (1956). Butler's Lives of the Saints. New York: P.J. Kenedy & Sons. uk. 639.
- ↑ "Holy Men and Holy Women" (PDF). Churchofengland.org.
- ↑ "Notable Lutheran Saints". Resurrectionpeople.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-16. Iliwekwa mnamo 2024-06-11.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ "The Calendar". The Church of England (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-08.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official site of the Trinity-St. Sergius Lavra
- Repose of the Venerable Sergius, Abbot and Wonderworker of Radonezh Orthodox icon and synaxarion
- Uncovering of the relics of the Venerable Sergius of Radonezh
- IMDB page
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |