Ronald Norrish
Mandhari
Ronald George Wreyford Norrish (9 Novemba 1897 – 7 Juni 1978) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kutumia miako mifupi wa nuru ili kuchunguza athari za kikemia. Mwaka wa 1967, pamoja na Manfred Eigen na George Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ronald Norrish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |