Richard Adolf Zsigmondy
Mandhari
Richard Zsigmondy (1 Aprili 1865 – 23 Septemba 1929) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza koloidi. Mwaka wa 1925 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Adolf Zsigmondy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |