Raymundo Damasceno Assis
Mandhari

Raymundo Damasceno Assis (alizaliwa 15 Februari 1937) ni Kardinali wa Brazili katika Kanisa Katoliki. Alikuwa Askofu Msaidizi wa Brasília kuanzia mwaka 1986 hadi 2004 na Askofu Mkuu wa Aparecida kuanzia 2004 hadi 2016.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pullella, Philip (20 Novemba 2010). "Pope puts his stamp on Catholic Church future with new cardinals". Reuters. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Novemba 2010. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2016.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |