Port Said
Mandhari
Jiji la Port Said | |
Mahali pa mji wa Port Said katika Misri |
|
Majiranukta: 31°15′0″N 32°17′0″E / 31.25000°N 32.28333°E | |
Nchi | Misri |
---|---|
Mkoa | Port Said |
Tovuti: www.portsaid.gov.eg/ |


Port Said (kwa Kiarabu بورسعيد, inatafsirika kama Būr Saʻīd) ni mji wa nchi ya Misri, karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.
Mji wa Port Said, unasemekana kuwa na samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya kampaundi, vyakula na sigara.
Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za Misri kama vile pamba na mchele. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meli ambazo zinapita kuelekea Suez.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiarabu) (Kiingereza) (Kifaransa) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 30 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
- PortSaid Free-zone Forums Ilihifadhiwa 24 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- PortSaid-Online,Port Said's Largest Community - All about Port Said Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Satellite picture by Google Maps
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port Said kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |