Nomino za kawaida
Mandhari
Mifano |
---|
|
Nomino za kawaida ni maneno yanayotaja majina ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya kawaida tu. Watu na vitu hivyo huenda vinafanana kwa kuwa umbo sawa, sifa sawa, na matumizi sawa yanayofanana. Majina haya yanapoandikwa huanza kwa herufi ndogo - ila tu pale yatakapoanza mwanzoni mwa sentensi ndipo yataanzwa kwa herufi kubwa.
- Mifano
- Dada
- Kaka
- Mama
- Baba
- Mjomba
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nomino za kawaida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |