Niels Ryberg Finsen
Mandhari
Niels Ryberg Finsen (15 Desemba 1860 – 24 Septemba 1904) alikuwa daktari kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza athari za nuru weknye chembe hai. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Niels Ryberg Finsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |